Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Cleavage zina faida gani mkuu? Zinaweza kusaidia kupunguza kipupwe ama?
Mara wamuite dikteta aliyebadili katiba ili aendelee kutawala. Mara hivi. Wamarekani hawaeleweki aisee....Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame katika mkutano wa masuala ya kiuchumi World Economic Forum WEF unaofanyika mjini Davos , Uswizi.
Bw Kagame atakuwa kiongozi wa pekee wa bara Afrika anayetarajiwa kukutana na Trump kulingana na ratiba iliyotolewa na mshauri wa masuala ya kiusalama wa Marekani H.R McMaster.
Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa unajiri huku kukiwa na malalamishi makubwa dhidi ya Trump ambaye aliyataja mataifa ya Afrika kuwa ''machafu" au ya "mabwege" katika mkutano wa kuzungumzia sera za uhamiaji.
Mara wamuite dikteta aliyebadili katiba ili aendelee kutawala. Mara hivi. Wamarekani hawaeleweki aisee....
Pengine kwa vile Trump naye amekaa kidikteta dikteta..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au kwa vile ndiye Mwenyekiti wa AU kwa sasa?
Umedata? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ni mama mtu mzima tena mwanakwaya na anajiheshimu sana. Ukimwandikia fb atakujibu mara moja. Kama unataka kuokoka sema nikuunganishe !!!More pic of her pls