Mapema mwezi huu, baadhi ya walimu wa chuo walitaka shahada aliyotunukiwa kuchunguzwa.Tasnifu hiyo ilileta utata punde tu ilipotolewa miezi kadhaa baada ya Bi Mugabe kujiunga na chuo hicho mwaka 2014.
Kwa kawaida tasnifu ya udaktari huhitaji utafiti, ambao huchukua mdua mwingi.