Hata sijafanya jambo la maana la kupata likes mia,zitunze tu ipo siku tutabet mechi za aseno eeNimeshajifunza. Unataka nikumwagie ngapi leo? 100? 200? 500?
Yaani wewe. Ushanigeuka kisaikolojia tayari. Hii Aseno yenyewe hii nitashinda bet hata moja kweli ....Hata sijafanya jambo la maana la kupata likes mia,zitunze tu ipo siku tutabet mechi za aseno ee
Hahahha itashinda tuYaani wewe. Ushanigeuka kisaikolojia tayari. Hii Aseno yenyewe hii nitashinda bet hata moja kweli ....
Hivi wajua mods walisepa na zile picha zako za jana?