Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amesema: “Tumesikia Simba kesho watakuja kutushangilia, niseme tu hii si mara ya kwanza wao kutushangilia, wameshatushangilia mara nyingi, ni jambo jema, sisi ni watani wa jadi na hakuna uadui kati yetu.
 
Watani wa jadi Simba na Yanga, kesho Jumamosi watakuwa kitu kimoja kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaowakutanisha Azam na Yanga kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
 
Watani hao watakuwa kitu kimoja kwani Simba inahitaji kuendelea kukaa kileleni bila ya wasiwasi, huku Yanga ikihitaji kuzisogelea timu zilizokuwa juu yake katika harakati zake za kutetea ubingwa wa ligi hiyo.
 
Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amesema: “Tumesikia Simba kesho watakuja kutushangilia, niseme tu hii si mara ya kwanza wao kutushangilia, wameshatushangilia mara nyingi, ni jambo jema, sisi ni watani wa jadi na hakuna uadui kati yetu.
 
Aliyempeleka Chelsea ni mtaalamu Gwyn Williams, aliyekuwa skauti wa Chelsea, ambaye pia ndiye aliyemuibua John Terry. Lakini pia, akiwa Stamford Bridge kwa miaka 27, Williams aliweza kumsajili mpachikaji mabao Andre Flo.
 
Alipotua Chelsea mwaka 2005, alinunuliwa kwa lengo la kuziba pengo la Mfaransa mwenzake, Claude Makelele, ambaye umri ulikuwa umemtupa mkono. Hata mashabiki wa soka nchini Ufaransa walimpachika jina la ‘Makelele mpya’.
 
Mwaka 2015, alifiwa na binamu yake wa kike aitwaye Asta Diakite, aliyepoteza maisha katika shambulio la kigaidi lililotokea jijini Paris. Tukio hilo lilitokea siku ambayo Diarra alikuwa mzigoni katika mchezo kati ya Ufaransa na Ujerumani.
 
Nyota huyo, ambaye kwa miaka mingi amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa goti, anatajwa na jarida la Forbes kuwa na utajiri wa Dola za Marekani milioni 49, ambazo ni zaidi ya Sh Bil 100 za Tanzania.
 
Diarra, ambaye alikuwa anawaniwa pia na Jose Mourinho wa Manchester United, anatua PSG kumsaidia majukumu Thiago Motta, mwenye umri wa miaka 35. Lakini pia, atakuwa msaidizi wa Adrien Rabiot katika idara ya kiungo.
 
Back
Top Bottom