Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hizi emoji veeepe[emoji8] [emoji7]
Hizi emoji veeepe[emoji8] [emoji7]
Hahahaah mzee wa ikwiriri naona kanzu yako nyekundu bado haijarudishwa.Nikimkuta kichwa kichafu analiwa na simba itabidi nitafute namna ya kupata kachumbari ili ikibidi nimwagie watafune mpaka viatu vyake!
Nalike tuUnataka kufanyaje sasa?
OkKwa yote: likes, sikukuu, na mengine mengiii
babe S tangu limekugiribu lile baradhuli umenitenga mazima? Bado nakusubiri, litakapo kutenda nikumbukeHata mi nimekaona..kwa kweli...
Mbona analia
Hako aponipe kamoja ka asubuhi
Karibu mkuuhuu uzi umekimbia kinoma ndani ya siku kadhaa tu
Umeona heeWangepata # 9 moja mashine pale mbele wangekuwa wamemaliza
Leo ni weka niwekena mimi naweeeka tu.