Kaka zake wawili ambao ni wanasheria kwa sasa, wana mchango mkubwa katika mafanikio yake ya soka kwani walikuwa wakimpeleka viwanjani na kuhakikisha kipaji chake kinaimarika kila siku.
Kuthibitisha kuwa Coutinho ni mmoja kati ya wanasoka wanaokubalika, ana zaidi ya mashabiki 150,000 wanaomfuatilia kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter pekee.