Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ushauri wa Liverpool kumfuata Coutinho ulitolewa na kocha wa zamani wa timu hiyo, Rafa Benitez, ambaye hata hivyo hakuwa kwenye benchi la ufundi wakati mchezaji huyo anatua.
Ni ngumu kumwona kiungo huyo akiwa kwenye kumbi za starehe. Mara nyingi amekuwa akitulia na familia yake anapomaliza majukumu yake ya uwanjani.
Ni ngumu kumwona kiungo huyo akiwa kwenye kumbi za starehe. Mara nyingi amekuwa akitulia na familia yake anapomaliza majukumu yake ya uwanjani.