Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku moja baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla kulitaka Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua watu wanne ndani ya siku saba kwa madai wanashiriki katika mtandao wa ujangili, jeshi hilo limesema halifanyi kazi kwa matamko.
 
Juzi, Kigwangalla mbali na kutoa agizo hilo, alisema watu hao wanne pia walipanga njama za kumuua mwanaharakati, Wayne Lotter na kwamba polisi wakishindwa kuwakamata atawashtaki kwa Amiri Jeshi Mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Tunafanya kazi kwa utawala wa sheria, kama kuna kesi tunafanya uchunguzi, pili sisi tuna utendaji wetu wa kazi, halafu kuna separation of power (mgawanyo wa madaraka). Mfano unasema Nyalandu (Lazaro- aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii) sijui kasema nini bungeni.., sisi hatuwezi kuingilia,” alisema Mwakalukwa.
 
Alipoulizwa utekelezaji wa agizo hilo la Dk Kigwangalla alisema, “Agizo hilo amempa nani, hakuna agizo aliloagiza, amesema amewapa polisi siku saba hilo si agizo. Nadhani suala hilo mngemuuliza waziri wa mambo ya ndani, maana sisi tuna utaratibu wetu wa kazi za utendaji wa polisi
 
Alisema mihimili ya Serikali ipo mitatu ambayo ni Bunge, Mahakama na Serikali, “Na sisi wa Serikali tunafanya kazi zetu kuzingatia sheria ya uanzishwaji wa taasisi yako. Polisi hatufanyi kazi kwa mihemko, kama akilaumiwa polisi atalaumiwa polisi mmoja mmoja au kituo cha polisi au fulani.”
 
Siku moja baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla kulitaka Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua watu wanne ndani ya siku saba kwa madai wanashiriki katika mtandao wa ujangili, jeshi hilo limesema halifanyi kazi kwa matamko.
Afadhali. Polisi wafuate sheria na kanuni na siyo kauli na miropoko ya kujipendekeza ya wanasiasa.
 
A teacher brought two buckets in a classroom, filled one with BEER and the other filled with WATER...
Then she brought a DONKEY to drink, Donkey smelled both buckets and decided to drink WATER...
Teacher then asked the students, "What have u learnt from 2day's lesson?"

[emoji137][emoji137][emoji137]"ANYONE WHO DOESN'T DRINK BEER IS A DONKEY"
 
When u meet Kenyan girls carry a baby on the road

Me:Cynthia where are u going
Cynthia:to my sister's place
Me:young baby how r you
Baby: tya piha jyfkkfjk getjjkf
Me:Cynthia what's he saying
Cynthia:he said u should buy him fried rice & chicken & giv us transport money


I garra go
 
Back
Top Bottom