Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumia muda huo kufanya mambo mengine. Kuchelewa safari haimaanisha kwamba ndiyo mwisho wa maisha. Kwa mfano upo Arusha na umechelewa ndege ya kukurudisha Dar es Salaam kwa siku hiyo, unaweza kuamua kutembelea vivutio kadhaa vilivyopo karibu na eneo hilo kama vile hifadhi ya Serengeti au Ngorongoro au hata Mlima Kilimanjaro.
 
Sababu ni nyingi ni zingine haziwezei kuzuilika kwa upande wa abiria na hata kwa shirika la ndege. Kuna wakati mwingine unaweza kuchelewa ndege kutokana na sababu za kiufundi za shirika lenyewe.
 
Tumia muda huo kufanya mambo mengine. Kuchelewa safari haimaanisha kwamba ndiyo mwisho wa maisha. Kwa mfano upo Arusha na umechelewa ndege ya kukurudisha Dar es Salaam kwa siku hiyo, unaweza kuamua kutembelea vivutio kadhaa vilivyopo karibu na eneo hilo kama vile hifadhi ya Serengeti au Ngorongoro au hata Mlima Kilimanjaro.
 
Shakhsia (personality) ya mwanamke ina nafasi kubwa ya msingi katika kuupa nguvu uhusiano wa ndoa na kuuendeleza. Hivyo, kama ambavyo silika na shakhsia mbalimbali husaidia kuendeleza uhusiano wa ndoa, pia kuna tabia na silika ambazo huufanya uhusiano wa ndoa usiwe na utulivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…