Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me hizo akili zako,hapana kwakweliNa ukute mbaba alibeba parachichi refu nene na limepindia kushoto[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mateso? Yepi?
Kwa mfano huyo mbaba alipata mateso gani?
Ningelikuwa mimi ndio huyo mbaba....
Mtihani ningelipata mia kwa mia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha wee,umesemaa??Ye ananipa Good sex we unanipa True Love
Taikuni wa maavokado humuwezi. Kubeba hayo masaksafoni mazito manene marefu na hili jua la Dar si mchezo ati! Kwema lakini kipenzi shemeji?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me hizo akili zako,hapana kwakweli
Sijui hata unawaza nini.
Halafu kumbe hayo si mateso bali ni raha eeh?
Bro naye aliamua kujiripua...Wacha wee,umesemaa??
Eeh?Naitamani nafasi hiyo... Mtu anajilengesha una muangalia tu?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] angechekea kwenye shimo la choo...
Yaani...Taikuni wa maavokado humuwezi. Kubeba hayo masaksafoni mazito manene marefu na hili jua la Dar si mchezo ati! Kwema lakini kipenzi shemeji?
Yaani ukitoka kwenye huu uzi umenuna itakuwa unashida nyingine kwakweliBro naye aliamua kujiripua...
Uzi huu ni raha mnoooo....
Kwema kabisa. Ngoja tumsubiri Mr. Masaksafoni. Akija hapa ni shida...Yaani...
Kwema kabisa kipenzi shemeji,habari ya wewe huko?