Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Yaani alitoka hapo kaweka mikono mifukoni ili asionekane kama kaharibikiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mikao ya kutegana,mzee baba lazima alichafua hali ya hewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Heee kuna picha zilifutwa humu? Sijaonaaa ina maana hadi humu wanaedit duhWamesepa mpaka na likes zangu...Naona ni kwa vile mkuu amewakoromea masleyi kwini waliokuwa wanajiachia huko Insta.
Nilale wapi? Niliona ahadi hewa ya kisiasa nikasonya tu nikaendelea kuchemsha tangawizi yangu. Niende nikaangalie?
Ubaya tu ni kwamba mimi sinuniwi...
[emoji23][emoji23][emoji23]hatariYaani alitoka hapo kaweka mikono mifukoni ili asionekane kama kaharibikiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sijui jamaa hali yake ilikuwaje baada ya hilo tukio
Na ukute mbaba alibeba parachichi refu nene na limepindia kushoto[emoji134] [emoji134] [emoji134]Itakuwa mambo yaliharibika kabisa alaf ukute anakimsambwaa ndo balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mateso? Yepi?Kweli wanaume wameumbwa mateso[emoji23][emoji23][emoji23]maana si kwa mkao ule dah!