Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180126-WA0030.jpg
 
Wasanii wa Bongo flava, mmesahau kabisa harakati za SUGU kupigania muziki wenu usimame? SUGU yupo mahabusu siku kumi, wasanii mmepiga kimya, court hamtokei, Jela hamfikii kumuona, mmeamua kumtumikia “kafiri?” Mmesahau alianzisha harakati za Kugoma kuimba bure?
 
Nikki wa Pili amejibu hilo kwa kusema, “wasanii hawana umoja, chama chao hakina nguvu kwa hiyo hata kunapotokea jambo wasanii walitolee sauti kwa pamoja kuna hakuna ‘platform’ ya kushikilia jambo hilo na kujikuta kila msanii yupo peke yake, na kupaza sauti kila mtu peke yake wasanii wengi wanaogopa hilo,” amesema.
 
Na ukute mbaba alibeba parachichi refu nene na limepindia kushoto[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Mateso? Yepi?
Kwa mfano huyo mbaba alipata mateso gani?

Ningelikuwa mimi ndio huyo mbaba....
Mtihani ningelipata mia kwa mia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji umeanza,Nimemuone huruma huyo baba ila kama ni kiba10000 hakupata shida sana
 
Back
Top Bottom