Kuwapa rundo la kazi watu wake
Hakuna jambo linalowaudhi wafanyakazi wanaojituma zaidi ya kuwarundikia kazi kisa umegundua kuwa wanajituma sana. Mabosi wamekuwa wakishawishika kuwapa kazi nyingi wafanyakazi wao na wengi wamejikuta wanaingia kwenye mtego huu na kuishia kukimbiwa na wafanyakazi.