Demokrasia kama mfumo haujawahi kueleweka; na inavyoonekana dunia inajaribu kutafuta mfumo mpya. Na kwa usahihi zaidi ni kwamba kila nchi inajaribu kuunda "demokrasia" yake kulingana na mazingira, historia na utamaduni wake. Hii demokrasia ya kimabavu ya kimarekani tuliyokuwa tunalazimishwa kuifuata ishapitwa na wakati ndo maana hata Wamarekani wenyewe naona imewashinda.