Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180127-WA0020.jpg
 
Mh! Sijapenda hapo kwenye rangi nyekundu. Anataka kumtia hofu huyu na kutafuta sababu ya kumuweka bench. Rashford ni mchezaji mzuri sana badala ya kumponda hadharani anatakiwa ahamasishwe zaidi.
Mou ndo alivyo mpaka mtu amzoee na kutochukulia serious maneno yake. Wachezaj chini yake wana kazi mno bora mikhi alikubali kujiondokea japo kwa shingo upande
 
Back
Top Bottom