Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Superb!

26866583_682214295282220_2180431905495711744_n.jpg
 
Matukio ya kuvamiwa na kuporwa kwa fedha yamekuwa yakiripotiwa kila kukicha. Idadi kubwa ya wananchi wamekuwa wakivamiwa na kuporwa fedha. Katika matukio hayo wapo ambao wameuawa, kujeruhiwa na wengine kupata ulemavu wa maisha. Kutokana na kushamiri kwa matukio hayo mwandishi wetu amefanya utafiti wa jinsi ya kujiepusha kuingia katika janga hilo.
 
Usitembee na fedha nyingi.
Unapobeba fedha nyingi unajiweka katika hatari ya kudhurika au hata kuuawa. Mhalifu anapofika kwako anachotaka ni kupata fedha, hivyo kumchelewesha maana yake ni kuhatarisha maisha.
 
[emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji443][emoji444][emoji445][emoji444][emoji443][emoji443][emoji449][emoji449][emoji449]Mwakaleliii Mwakaleliiiiii. Andjul Andjul Andjul...Lete masaksafoni yako mazito menene marefu huku yanahitajika. Yakikuzidi uzito muombe Carba akusaidie kuyabeba...Mwakaleliii Mwakaleliii[emoji450][emoji450][emoji449][emoji445][emoji444][emoji443][emoji344][emoji350][emoji351][emoji397][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449][emoji449]
96f65e012bec84f2fb1fc0bda19af8ef.jpg
 
Good Night Loves, so kwa wale watu wa fitness na wanaopenda to keep their bodies healthy nadhani mtakuwa mnajua green juice ni nini na jinsi ya kuitengeneza and all that. Since I spend most of my time reading and writing nimekutana na sehemu mtu anauliza hii green juice inasaidia nini haswa, yaani faida zake ni nini, kwanini unywe green juice?
 
Kwanini unywe Green Juice?

1.Inasafisha ngozi yako.
Baada ya kama wiki mbili za kunywa green juice utaanza kuona mabadiliko, ngozi yako itaanza kuwa laini na hata madoa na makovu uliyokuwa nayo yataanza kupotea. If you make a habit ya kuinywa kila siku basi ngozi yako ndio itatakata kabisa.
 
2.Inakupa nguvu.
Kwa wale ambao tayari mnakunywa green juice mtakuwa mnajua kuwa unatakiwa kuinywa on ana empty stomach.. kunywa ukiwa huna kitu tumboni, kaa kama nusu saa ndio unaweza kunywa au kula kitu kingine. Green juice ina nutrients nyingi na hivyo ni bora kama ukiinywa asubuhi kabla hujala kitu kingine chochote.
 
3.Inasaidia digestion/inakupa choo
Green juice inasaidia kusaga chakula tumboni, hivyo hata kama ulikuwa hupati choo just kunywa green juice for a whole day na you will feel as light as a feather siku inayofuata.
Kwa wale wanaokunywa green juice hawapati gesi tumboni ovyo wala kuvimbiwa.
 
Back
Top Bottom