Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4.Inapunguza uzito.
We all know kwamba ukitaka kupungua sio mazoezi tu ndo yatakayo kusaidia, bali ni vitu unavyokula pia..Na green juice ni kitu kimoja important sana ambacho ni lazima kuweka katika diet yako ili uweze kupungua vizuri bila matatizo.
 
. Je mtoto anakulaje awapo tumboni? Chakula huingia mwilini kwa mtoto anayekuwa tumboni mwa mama yake kupitia kondo la nyuma au ‘placenta’ kwa Kiingereza. Hivyo mama anywapo pombe vilevile nayo huingia kwa mtoto kupitia kondo la nyuma.
 
Iwapo ulikunywa pombe ukiwa mjamzito, je ni zipi dalili za athari za pombe kwa mtoto? Ingawa dalili ni nyingi, makala haya yatajikita katika dalili za kudumaa kwa akili ya mtoto baada ya kuzaliwa. Mtoto mwenye tatizo hili hupata taabu kuwakumbuka ndugu na jamaa wa karibu hata wale anaoshinda nao nyumbani.
 
Ingawa watoto wa umri huu hupendelea kucheza na vitu vinavyowazunguka, mtoto huyu hapendi ‘kujishughulisha’ na vitu vinavyomzunguka. Unashauriwa kumpeleka mtoto kwa wataalamu wa afya kupata msaada zaidi pindi unapohisi mtoto ana tatizo.
 
Mwongozo wa kitaalamu wa makuzi ya mtoto unaonesha kwamba mtoto wa umri wa miezi sita anapaswa kuwa na uwezo wa kufanya mengi ya mambo yafuatayo; toka anazaliwa anapaswa kuweza kugeuza shingo lake kufuata mwelekeo sauti inakotokea,
 
aweze kushika miguu yake akiwa amelala kifudifudi, aweze kukuangalia anapokuwa ananyonya / kula, aweze kutabasamu aonapo nyuso na kusikia sauti za watu anaowafahamu, aweze kulia anapoudhiwa / ama akiwa hajisikii vizuri (mgonjwa, njaa, nk.), apate kutoa sauti mbalimbali ikiwapo kwikwi ndogondogo na hata kupiga kelele na mwisho awe na tabia ya kutaka kutia kila akishikacho mdomoni mwake.
 
Njia moja ni kutumia vifaa vya kujikinga dhidi ya maambukizi haya. Kwa mfano kutumia kondom na mpenzio, kila mara mnapofanya ngono, hadi pale nyote wawili mtakapokuwa mna hakika kabisa kwamba hakuna uwezekano wowote wa ninyi wawili kuambukizana magonjwa ya ngono.
Hebu tuangalie orodha hii ya baadhi ya mengine yakuambukuzana kupitia ngono.
 
Njia moja ni kutumia vifaa vya kujikinga dhidi ya maambukizi haya. Kwa mfano kutumia kondom na mpenzio, kila mara mnapofanya ngono, hadi pale nyote wawili mtakapokuwa mna hakika kabisa kwamba hakuna uwezekano wowote wa ninyi wawili kuambukizana magonjwa ya ngono.
Hebu tuangalie orodha hii ya baadhi ya mengine yakuambukuzana kupitia ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…