Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Emotional stress hazisababishi kunyonyoka kwa nywele lakini inaweza kutokea pale unapokuwa katika wakati mgumu kisaikolojia kama vile kumpoteza mtu wako wa karibu kutokana na kifo au kuachwa kimapenzi. Hata hivyo,. Baada ya wakati huo mgumu, nywele zako zitaanza kuota tena baada ya miezi sita.
 
2. Homoni
Kunyonyoka kwa nywele kunaweza kuwatokea wanawake w alio katika menopause kutokana na kuadilika kwa viwango vya homoni. Inaweza kutokea pia kwa wanawake wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango hususani wanapokuwa wana ahirisha mara kwa mara zoezi la kutumia vidonge hivyo.
 
4. Ujauzito
Ujauzito ni miongoni mwa mambo yanayo leta physical stresses and there are also na pia huleta mabadiliko ya homoni. Kunyonyoka kwa nywele hutokea baada ya kujifungua.
 
Kama mmoja kati ya wazazi wako au babu zako wa upande wa baba au mama aliwahi kuwa na tatizo la kunyonyoka nywele au kuwa na kipara kabisa, basi kuna uwezekano mkubwa sana kwa jambo hilo kutokea kwako pia kwa sababu za urithi.
 
Hakuna maelezo yoyote ya kitabu kuhusu jinsi ya kukinga suala hili , hata hivyo unaweza kujaribu kutumia vyakula na dawa mbalimbali bila kujali sababu iliyo fanya unyonyoke nywele au kuwa na kipara.
 
6. Vinasaba vya kiume
Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kuwa, wanaume wengi wana anza kuonyesha dalili za kunyonyoka mwele wakiwa na umri wa kuanzia miaka sitini ( 60) na kuendelea
 
So kama wewe ni mwanaume mwenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea na nywele zako zimeanza kuonyesha dalili za kunyonyoka, huna haja ya kupanic wala kutafuta tiba, kwani suala hilo ni la kawaida kabisa kwa wanaume wenye umri wako.
 
8. Matumizi ya vitamin A kupita kiasi.
Malimbikizo ya vitamin A mwilini husababisha kunyonyoka kwa nywele. Hata hivyo kunyonyoka kwa nywele kunako sababishwa na malimbikizo ya vitamin A mwilini huwa ni kwa muda tu.
 
10. Matatizo kwenye tezi aina ya thyroid ( Thyroid Gland )
Thyroid gland ina husika na michakato mbalimbali katika mwili wa mwanadamuikiwemo ukuaji wa nywele. Kama tezi hii haizalishi homoni za kutosha, inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. Ukiwa katika situation hii, unashauriwa kumuona daktari kwa ushauri zaidi.
 
f708a1e19d864725038095fb44b56176.jpg
Huu ufisadi sasa !!!
 
Back
Top Bottom