Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

865dd9e9f9d631464d1c2de33ca1ee67.jpg
 
Nice view
Imagine jioni hapo kajua kanawaka na kiupepo-liwazi kinawapiga huku mmekaa tu mkifurahi na kumshukuru Mungu kwa kuwakutanisha. Roho mbili zilizoshonwa katika umoja wa pendo la kweli lisilo na mawaa wala mikatale ya kihayawani...

Hata sijui nawaza nini leo...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️

Kwema lakini shemu langu la kufa na kuzikana?
 
Nawaza kale ka sunset katakavyokuwa kanapendeza maana zile rangi huwa zinavutia kwakweli na kaupepo kale ka jioni,lovely...akili imewaza mbali sana.

Kwema shem darling,habari ya jumapili
 
Back
Top Bottom