Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui hata nimewaza nini kwakweli...
Imagine jioni hapo kajua kanawaka na kiupepo-liwazi kinawapiga huku mmekaa tu mkifurahi na kumshukuru Mungu kwa kuwakutanisha. Roho mbili zilizoshonwa katika umoja wa pendo la kweli lisilo na mawaa wala mikatale ya kihayawani...Nice view
Tumuite Mr. Masaksafoni aje atolee ufafanuzi ulichokiwaza? Huku poa kabisa shem darling....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huko vipi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui hata nimewaza nini kwakweli...
Kwema shem darling?
Nawaza kale ka sunset katakavyokuwa kanapendeza maana zile rangi huwa zinavutia kwakweli na kaupepo kale ka jioni,lovely...akili imewaza mbali sana.Imagine jioni hapo kajua kanawaka na kiupepo-liwazi kinawapiga huku mmekaa tu mkifurahi na kumshukuru Mungu kwa kuwakutanisha. Roho mbili zilizoshonwa katika umoja wa pendo la kweli lisilo na mawaa wala mikatale ya kihayawani...
Hata sijui nawaza nini leo...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kwema lakini shemu langu la kufa na kuzikana?