Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mtu na dadake hao wanapeana ushauri. Huko pwani kwa wajengezi huko nako kuna mambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada weka kajenereta kadogo ili siku ukiwa home uwe unakitumia, hali ya hewa hii ni shida. Ukifanya masihara unaweza kubakia na kich..upi tu.
Mwenyewe unamjua? Ana hatimiliki ya hilo jina? Akwende zake hukooooo !!!Utani mbaya, mwenyewe akipita mitaa hii patachimbika[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Lazima aliwe
Huu ni ulafi
Mikono ya binadamu imefanya mengi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sura hata mbuzi anayo, umebarikiwaaaaaa ??????