Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Dada weka kajenereta kadogo ili siku ukiwa home uwe unakitumia, hali ya hewa hii ni shida. Ukifanya masihara unaweza kubakia na kich..upi tu.Joto ni shida huku kwakweli halafu tanesco wanakata umeme wao
Hogo nene,refu halafu limepinda[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Afrika imejaaliwa jamani, loooh
Hili joto ni shidaa kwakweli me ndomana napenda sehemu za baridi kukaa huku bahati mbaya tu[emoji30][emoji30]Dada weka kajenereta kadogo ili siku ukiwa home uwe unakitumia, hali ya hewa hii ni shida. Ukifanya masihara unaweza kubakia na kich..upi tu.
Enzi zileeee!!!
Pimbi wa dada naye anapotea sanaPimbi....
![]()
CleverKING, KaishiaMfalme Mjanja...
![]()
Mzee wa FOREX
Utani mbaya, mwenyewe akipita mitaa hii patachimbika[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]