Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-01-28-19-03-53.png
 
*kwa mujibu wa takwimu za kitafiti, wapenzi wa Simba Tanzania ndio wenye kuongoza kwa asilimia 90% kwa kuwa wenye furaha hata ukiwaona mitaani. Yanga wana asilimia 3% nyuma ya Azam wenye 7%. Hivyo, ukimwona mtaani mtu amekunja uso na ana majibu ya mkato mkato ujue ni Yanga. Kinyume chake ni wa Simba*.
_Tafadhali usinikuu takwimu hizi kwa mujibu wa sheria ya takwimu kifungu cha 4 kama ilivyo idadi ya magoli ya Simba msimu huu!_
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mwalimu kashasha anasema Goli LA pili LA Boko ni sawa baba karudi nyumbani baada ya miezi sita! Kaleta mikate ! Mama kaenda dukani kaleta Blue band! Halafu kapalaza kwa mikate! Kabla hata chai haijafika mezani! Mikate imeisha! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom