Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

When you go in search of honey you must expect to be stung by bees.

The inability of those in power to still the voices of their own consciences is the great force leading to change.

The power which establishes a state is violence; the power which maintains it is violence; the power which eventually overthrows it is violence.
Kenneth Kaunda
 
Upungufu wa nguvu za kiume.

Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.
 
hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.
 
Madhara ya ndani ya sehemu za siri.

Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali.
 
Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…