Utafiti unaonyesha kuwa watu wanaokunywa vikombe 6 vya kahawa kila siku, huongeza maji mwilini kwa kiwango kidogo sana. Pombe ndiyo mbaya zaidi kwani hukusababisha ukojoe sana na kupoteza kiwango kikubwa cha maji mwilini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.