Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zima sauti ya simu yako. Ni vema ukazima sauti ya simu yako (mute) kama una kazi nyingi na tena zinazohitaji umakini wako wa hali juu. Hii itakusaidia kuwa na utulivu bila ya muingiliano wa simu, ujumbe mfupi au milio ya sauti za programu zilizomo kwenye simu.
 
Weka mbali simu yako. Kama unaona hauwezi kupitisha hata dakika 10 bila ya kuigusa simu yako, inashauriwa pia ukaiweka mbali. Kwa mfano unaweza kuiweka kwenye droo mahali unapokaa au ukampatia mfanyakazi wako akakuhifadhia na kisha kukurudishia pindi utakapomaliza kazi zako. Hii itakufanikishia kumaliza kazi ulizonazo kwa umakini, ufanisi na wakati bila ya bugudha yoyote ile.
 
Pangilia muda wa kuwa na simu yako. Pia inashauriwa kupangilia muda maalumu wa kuwa na simu yako ili kujua masuala mbalimbali yaliyotokea wakati uko mbali nayo. Kwa mfano, unaweza pengine ukatenga kila baada ya saa moja au mawili ndiyo unashika simu yako au hata wakati wa kupata chakula cha mchana.
 
Kama hauna shughuli yoyote ambayo itahitaji simu yako kuwa mkononi muda wote basi mbinu hii ni bora zaidi. Kwanza itakupatia muda wa kutosha kuweza kuperuzi na kujibu jumbe na taarifa mbalimbali kwa pamoja huku ukiwa huna wasiwasi wa kushikwa na bosi wako.
 
Wafahamishe watu unaowasiliana nao mara kwa mara kwamba utakuwa mbali na simu yako. Endapo utakuwa mbali na simu yako au itakuwa katika hali ya kutotoa sauti au ishara yoyote ile basi ni vizuri ukawafahamisha watu unaowasiliana nao mara kwa mara ili wasikutafute. Hii pia inaweza kusaidia hata kupungua kwa kupokea simu na jumbe nyingi wakati wa kazi.
 
Kila mabadiliko huja na faida na hasara zake hivyo hatuna budi kujifunza kuendana nayo. Mabosi wengi kwa sasa wanawalalamikia wafanyakazi wao kutumia muda mwingi kwenye simu zao, hasa mitandao ya kijamii badala ya kufanya kazi. Kupitia mbinu hizi kadhaa zilizotolewa na Jumia Travel, tunaamini kwamba kuanzia sasa utaanza kudhibiti matumizi ya simu yako ili kulinda kibarua chako kisiote nyasi.
 
Thank GOD, I don’t! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
You have no idea what you all are missing [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
kaunda-machel-nujoma.jpg
Hivi Nujoma naye bado yu hai ama?
 
When you go in search of honey you must expect to be stung by bees.

The inability of those in power to still the voices of their own consciences is the great force leading to change.

The power which establishes a state is violence; the power which maintains it is violence; the power which eventually overthrows it is violence.
Kenneth Kaunda
Ni msomi mzuri. Nilimsikiliza Harvard akitoa mhadhara nikajua kuwa yuko vizuri sana. Ni intellectual kabisa....
 
Back
Top Bottom