Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
CHAPUTA......MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) JE KUNA FAIDA AU HASARA YA KUPIGA PUNYETO?
CHAPUTA......MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) JE KUNA FAIDA AU HASARA YA KUPIGA PUNYETO?
Huwez amin mwez wa kumi na mbili nilienda sehemu netwrk mbovu ila humu sikukosekana. Nilitafuta kila kona yenye nafuu ya mtandao mpaka nikaupata. Msiba niliupata ila napo ukipata ka nafasi ka upweke tu simu hio daah utandawaz huu sio kabisaNilipopata msiba pale nilikaa karibu wiki mbili na ushee bila bughudha sana. Sasa nimerudi kwenye mtandao mtelezo naona tatizo linarudi. Itabidi nianze kufanya maamuzi magumu kwa kweli. Akina Mzee wa Liver na mkewe mbona wameweza?
Kwanza unaangalia mdude kwa baki yake[emoji39] [emoji39] [emoji39] lile dude unalifiga auti atakapokuwa kama malaika... Yaani nekedi pyeee...Sasa mkikutana na mwanamke mkali mnaangalia wapi? Kichwani ama?
Siyo rahisi kama uko addicted. Ni mojawapo ya addiction mbaya sana kushindana nayo. Kuna papers za kitafiti nyingi zinazoeleza kwa kina jinsi inavyoathiri ubongo na uzalishwaji wa dopamine. Kama zilivyo addiction zingine, ni suala la kisaikolojia zaidi na kulishinda mikakati mingi inayopendekezwa inabidi ilenge saikolojia pia. Huyo aliyeandika hiyo makala naona ni mtu wa dini/nasaha na amegusia mambo kwa juu juu tu.Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako? Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:
Utalala na ukiwa hapo hapo kitandani utaishia kujiripua tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.
Ila kumbe ulikuja msiban,sikujua pia naona pole kwa andjul tujulishane jamanUtalala na ukiwa hapo hapo kitandani utaishia kujiripua tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Carba njoo. Shemeji yako kaja...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza unaangalia mdude kwa baki yake[emoji39] [emoji39] [emoji39] lile dude unalifiga auti atakapokuwa kama malaika... Yaani nekedi pyeee...
Netiweki inakata ghafla... Ile kuzinduka tu... Yuleeee.... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Unamkimbilia ili upate namba yake...
Kifuatacho sasa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Numbisa moto, ho chi minh moto....
Jakitoo fayaaa, na Shimba moto... Eyoooo..... [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji449]
Msema kweli hupata vinono...Shida yote ya nini bana? Msema kweli.....
Ndiyo. Mamangu mzazi alifariki. Nilikaa Koromije mwezi ndo maana nikawa nakutafuta Mwanza ukaniziria...Mwaka jana haukuwa mzuri kwenye uzi huu kwa sababu watu zaidi ya wanne tulipatwa na misiba mikubwa mikubwa. Ila Mungu Ametusaidia tunasonga mbele...Hahahah
Ila kumbe ulikuja msiban,sikujua pia naona pole kwa andjul tujulishane jaman