Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole sana shimba. Ila mwaka 2016 ndio ulioniumiza zaidi kwa msiba mzito ule mwaka sitausahau.
 
Pole sana shimba. Ila mwaka 2016 ndio ulioniumiza zaidi kwa msiba mzito ule mwaka sitausahau.
Ndiyo maisha hayo. Ni kumshukuru Mungu na kusonga mbele japo inauma sana. Kibaya/kizuri zaidi na sisi siku yetu yaja. Hakuna ujanja na tunapaswa kumtegemea Mungu na kuomba neema zake kila uchao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…