Pole sana shimba. Ila mwaka 2016 ndio ulioniumiza zaidi kwa msiba mzito ule mwaka sitausahau.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwe mwe mweee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiii jamaniii... Mnanichelewesha kufa mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni Baby Jakitoo...Usije nifanya nilete evidensi hapa ohooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maisha hayo. Ni kumshukuru Mungu na kusonga mbele japo inauma sana. Kibaya/kizuri zaidi na sisi siku yetu yaja. Hakuna ujanja na tunapaswa kumtegemea Mungu na kuomba neema zake kila uchao...