Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
lakini kama unajikuta kwenye wakati kuwa umesahau simu yako au umepoteza basi unakosa raha kabisa hata kama ulikua unauwezo wa kubadili line na kuendelea na mawasiliano basi jua kabisa inawezekana una tatizo la kupenda simu kupita kiasi.