Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na hizo ndio baadhi tu ya dalili ambazo leo nimeweza kukuchambulia ili kuweza kujua kuwa una tatizo la kupenda simu kupita kiasi, Tatizo hili linaweza kuisha kwa kujizoesha mambo mbalimbali kama kucheza mpira mazoezi au vitu vingine kama hivyo.
 
b10096ab391875e219bf957aaf7963f6.jpg

[emoji57] [emoji57] mfyuuuuuu zaaako...
 
Na hizo ndio baadhi tu ya dalili ambazo leo nimeweza kukuchambulia ili kuweza kujua kuwa una tatizo la kupenda simu kupita kiasi, Tatizo hili linaweza kuisha kwa kujizoesha mambo mbalimbali kama kucheza mpira mazoezi au vitu vingine kama hivyo.
 
Ni vyema uka amua kumuona mshauri kama utashindwa kabisa kuacha tabia hii kwani, hili ni tatizo sugu kama yalivyo matatizo mengine ambayo ni ngumu kuyaAcha,
kumbuka kupenda simu kupita kiasi kunaweza kusababishia matatizo mbalimbali kama ya Afya, matatizo ya kifamilia, kimahusiano na mambo mengine kama hayo.
 
[emoji124] [emoji124] amvila muyaya, amvila muyaya mayo aah....
Koffi Olomide... Amvila muyaya mayo..... Ajhajhajhajhaaaaaaa... Kinshasa moto, na carba motoooo... Moto, moto, Numbisa moto, Jakitoo fayaaaaaa[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji449]
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]hapana kwakweli
 
Back
Top Bottom