Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4ba3e80beaa541f62ca34c1c8c2790c1.jpg
Atamuumiza mtoto huyu...
105ffc6663b49fc46f75e512c63e820d.jpg
 
Zamani nilikuwa mwoga...Ooh sijui watu watanifikiriaje...Halafu nikakutana na Numbisa na Mzee Rutta. Nikajifunza kwao na sasa nimefuzu...Raha iliyoje kuwa huru hasa humu tusimojuana....

Hata wewe kuna mara chache chache huwa unajiripua mf. Ai sarenda...Njoo unirenge...Kaone !!!
We bado MUOGAAA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu niache bhana halafu umenikumbusha
tapatalk_1511309314690.jpeg
 
Sikukwoti na sikomenti chochote. Maana ulichokuwa unakitafuta ulikipata, na malezi umemuachia "Le baba Mukulu furangenge" jitu lenye kujua unahitaji nini kwa wakati gani...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Le baba mkulu furangenge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Ubarikiwe shemeji
 
Back
Top Bottom