Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6bf3006b9d8db63b7aec328cbb177c75.jpg
Red card
 
Ni kumuomba Mungu tu hakuna kingine mkuu.

Na uzi huu kusema kweli ni therapy mojawapo kubwa ambayo binafsi imenisaidia sana. Maneno ya faraja, upendo, undugu na matani yaliyomo humu vyote vimekuwa tiba na farijiko kubwa. Mungu Atawalipa !!!
Hakika, hata sijui ingekuwaje!
Tukio lako liliniumiza sana, nilikumbuka maisha yangu ya nyuma
Una lala una amka hata haujui unakutana na nani
Unakuwa pamoja na mtu kwenye shida na hamjuani... Una tiwa moyo, una simama tena.
Mna sali pamoja, mnaombeana, mna saidiana... Mna juana? Hapana...
Nadhani ni Mungu tu
Mungu hakika anaweza
Bila yeye tusingekuwa hapa
Na kamwe hatuwezi kuwa hapa
Tuzidi kumtukuza kwa huruma yake kwetu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom