carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huku tunashukuru kwakweli tupo.Mungu ni mwema kwa kweli, sijui huko?
Huku tunashukuru kwakweli tupo.Mungu ni mwema kwa kweli, sijui huko?
hili toto sometimes ni mremboAbeeee...
Huyo bi mkora umemtoa wapi?
Sante kibumbu,mzima wewe?Carb love mingi mingi kwako [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa uzuri ni mzuri sema siku hizi kajiharibu sana,havutii tenahili toto sometimes ni mrembo
sometimes baya
Mtoto mdogo kulala na mzazi (hasa baba) ni salama zaidi. Mtoto akilazwa tumboni kwa baba (tumbo kwa tumbo) anaweza kulala bila kusumbua hadi asubuhi.Itakuwa alimshikilia hivyo ili apige picha.
Inasikitisha!!! jamani hivi mzazi analalaje na mtoto kitanda kimoja tena mdogo[emoji20] [emoji20]
Atatumia jina badala ya muonekano wake(kitu usiku kwa usiku) na ka picha kake kwa simuMungu akipenda kama nitakuwa town[emoji120][emoji120][emoji120]
Halafu waweza kuta hayuko kama alivyohumu ndani
Cc:andjul
Ni kumuomba Mungu tu hakuna kingine mkuu.Niliwahi ileta picha hii![]()
Nikiwa nimejawa na hofu kubwa juu ya vijana wangu. Ikiwa kwa umri wangu huu bado nawalilia wazazi wangu walio tangulia mbele ya Haki, vipi mimi nikiondoka sasa... Nani atawafariji? Au ndio watakuja kulala katikati ya kaburi la mama na baba yao(Mungu nisamehe) ili wapate faraja?
Tuna mengi tunapitia ila huu uzi unatufariji sana
Mimi kesho kule, jumamosi ijayo nishtue kwa maelekezo zaidiHuku tunashukuru kwakweli tupo.
Wa afya kabisa mkuuSante kibumbu,mzima wewe?
Likely pilipili hoho...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Mmh!umekula nini leo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hoooooooooovyoooooooooo !!!We bado MUOGAAA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu niache bhana halafu umenikumbushaView attachment 686846
Mapenzi ya mama kwa mtoto...Bonding....Itakuwa alimshikilia hivyo ili apige picha.
Inasikitisha!!! jamani hivi mzazi analalaje na mtoto kitanda kimoja tena mdogo[emoji20] [emoji20]
Tutaweka appointment mapema...Labda atukwepe kwa makusudi...Mungu akipenda kama nitakuwa town[emoji120][emoji120][emoji120]
Halafu waweza kuta hayuko kama alivyohumu ndani
Cc:andjul
Afadhali....Niliona hiyo dalili nikaenda tafuta kazi ambayo sitakuwa nao direct maana .....
Na mimi nimo hata sijui ni nn lakini nimoTutaweka appointment mapema...Labda atukwepe kwa makusudi...
Na umri nao unakwenda jamani...Kwa uzuri ni mzuri sema siku hizi kajiharibu sana,havutii tena
Ndiyo. Mamangu mzazi alifariki. Nilikaa Koromije mwezi ndo maana nikawa nakutafuta Mwanza ukaniziria...Mwaka jana haukuwa mzuri kwenye uzi huu kwa sababu watu zaidi ya wanne tulipatwa na misiba mikubwa mikubwa. Ila Mungu Ametusaidia tunasonga mbele...