Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumekuwa tukiambiwa kuwa usidanganye hata kidogo katika usahili wa kazi uliyoiomba. Ni kweli hupaswi kudanganya, kwa sababu utakapogundulika kuwa umedanganya utajiweka katika hatari ya kuikosa kazi unayoiomba.
 
Usiandike kila kitu katika wasifu wako (CV)
Unapoenda katika usahili wa kazi, uasiandike kula jambo ulilowahi kulifanya katika wasifu wako (CV). Baadhi ya mambo yanaweza kumpa wasiwasi mwajiri wako
 
Hebu fikiri uliwahi kufanya kazi katika kampuni fulani, baada ya miezi miwili ukafukuzwa kazi kutokana na uzembe, ukiiweka hiyo kazi katika wasifu wako kisha muajiri akakuuliza kwa nini uliifanya kwa muda mfupi, utamjibu nini?
 
Usimsemee vibaya muajiri wako wa zamani
Jambo kubwa linalowafanya watu wengi kuacha kazi walizokuwa wakizifanya ni pamoja na mahusiano mabaya na waajiri wao. Unapoenda katika usahili wa kazi mpya,
 
Usieleze sababu iliyokufanya uache kazi uliyokuwa unaifanya awali
Ukweli ni kwamba watu wengi huacha kazi moja na kutafuta nyingine kwa sababu ya mambo kama vile, mahusiano mabaya na waajiri au wafanyakazi wenzao,
 
Hakikisha mambo unayoyapendelea yanaendana na aina ya kazi uliyoiomba
Usitaje unapendelea kunywa bia, kwenda kustarehe na marafiki, kuangalia filamu, kuchati na mengine yanayofanana na hayo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…