Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mh. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Prof. JOYCE L. NDALICHAKO amethibitisha kuwa kuwa suala la Walimu wa Sekondari kuhamia Msingi si la uzushi ni mpango na agizo la serikali.

Akihojiwa na Redio ONE, Mh Waziri amesema serikali ilitaka kufanya *Redundance* kwa walimu wa sanaa. Baada ya kushauriana ndo wakaamua wapelekwa shule za Msingi.

*KUMBE ILIKUWA WAFUFUTWE KAZI KABISA DUH!*


Ko hiyo ni huruma tuu[emoji23][emoji23][emoji23] saiz ingekuwa jasho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…