Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mambo ya online shopping hayoo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
26870317_2016703215284261_2292384583162789888_n.jpg

Haya ndio yaliyomkuta Shilole kwenye sherehe

Msanii wa muziki bongo asiyeisha vituko, Zuwena Mohamedi maarufu kama Shilole, ameweka wazi janga lililomkuta kwenye nguo aliyovaa ambayo imeonekana kuwaacha watu midomo wazi huku wakimcheka.

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Shilole amesema nguo hiyo aliagiza mtandaoni, lakini matokeo yake ilikuja kumbadilikia baada ya kuvaa.

“Kwaweli haya mambo ya kununua vitu mitandaoni yamenicost, nguo mimi nimeiona nikaagiza ikaja, nikajaribu siku ya kwanza ikanikaa vizuri tu, siku ya sherehe nikasema nivae leo ile gauni, nikavaa na ikanikaa vizuri tu, sasa balaa likaja kadri ninavoenda na yenyewe inashuka, nikasema hili sasa balaa na nishafika kwenye sherehe, ndio hivyo”, amesema Shilole.

Kufuatia tukio hilo Shilole amepost kwenye ukurasa wake wa instagram akisema kuwa hatokuja kurudia kuagiza nguo za mitandaoni, kuepuka lililotokea.
 
Kuna vitu hata ukisema huyu mtu ako na ugonjwa wa akili hata havikubali,yaani alikosa hata hela ya kwenda kutafuta changudoa hadi abake mtoto tena wa 8months??[emoji22][emoji22][emoji22][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Atiwa mbaroni kwa kumbaka mtoto wa miezi 8

Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 28 anashikiliwa na polisi nchini India kwa kumbaka mtoto wa miezi 8 ambaye ni binamu yake, na kumsababishia majeraha makali yanayohatarisha usalama wake huko Shakurbasti kaskazini Magharibi mwa mji wa Delhi.

Taarifa kutoka nchini India zinasema kwamba mama wa mtoto huyo alikuwa ameenda kazini na kumuacha na wifi yake ambaye ndiye alitakiwa kumuangalia, lakini alichukuliwa na binamu yake aliyesema anakwenda naye chumbani kucheza naye, na kisha kumfanyia kitendo hiko cha kikatili.

Baada ya kurudi kazini mama wa mtoto huyo alimkuta mtoto wake ana damu mwilini huku akilia na sehemuzake za siri kuonekana zimevimba, ndipo alipoamua kumkimbiza hospitali, na baada ya vipimo mtoto huyo alionekana amebakwa na kujeruhiwa.

Kijana anayehusika na tukio hilo ambaye ni ndugu yao wanayeishi naye nyumba moja alikimbia, lakini polisi walifanikiwa kumkamata na kukiri kufanya tukio hilo.

Mtoto huyo bado yuko katika hospitali ya Kalawati Saran anakoendelea kupatiwa matibabu, huku madaktari wakisema kwamba hali yake bado ingawa yuko salama.

Source

The Times of India
 
India huko kuna vituko vya ajabu. Na mara nyingi watu wanaofanya hivi vitendo ni wagonjwa wa akili...
 
Back
Top Bottom