Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kipindi kile ulikuwa na mambo mengi,hata akili haikuwa yako.Unajua kilichofanyika Kana ya Galilaya zaidi ya miaka 2000 iliyopita?
Bahati nzuri sana hata hii naona nimefanikiwa kuacha. Mwezi mzima kijijini Koromije nimekuja kuijaribu yaani haishuki kabisa...
Inawezekana alikuwa kona anachunguliaYegoooo...Una machale balaa. Yaani nimekutaja tu tayari ushaibuka. Hebu naye mgawie insomnia kama ulivyokuwa unamtesa 'Kitoo wakati ule. You da man !!!
Huyu ndo sponsa?daah!
Kuna notes jmeziweka nite kali asubuh nikajikuta nimetupia hizo hizo duh siendi tena huko nilipozitolea nahamia kwingineInawezekana alikuwa kona anachungulia
Ndio kinje,mke wake ni shost wa zari anaitwa nizuryHuyu ndo sponsa?daah!
Maisha haya
Sio mbaya bhanaKuna notes jmeziweka nite kali asubuh nikajikuta nimetupia hizo hizo duh siendi tena huko nilipozitolea nahamia kwingine
Makubwa ya dunia haya...Ndio kinje,mke wake ni shost wa zari anaitwa nizury
Usiache bana kuna chimbo nyingi wee endelea kuburudisha huku tukila likes za ukweliSio mbaya bhana
We nenda tu me sikuhizi nimeacha jana nivile tu nilikuwa sina cha kufanya.
Endelea tu.