Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unajua kilichofanyika Kana ya Galilaya zaidi ya miaka 2000 iliyopita?Unanitega eeeh??[emoji23][emoji23][emoji23]taratibu basi[emoji85] [emoji85]
Ila aliyegundua hii kitu sijui aliwaza nini aiseh!
Bahati nzuri sana hata hii naona nimefanikiwa kuacha. Mwezi mzima kijijini Koromije nimekuja kuijaribu yaani haishuki kabisa...