Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mtu ananiombea niteseke sijui yale maombi yameanza kufanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23]

Aiseh!sijui tubadilishane uje huku nije huko maana huku joto hatari
Wewe nadhani uko ngangari huwezi kuteseka...Wanateseka wazembe na weaklings....

Aisee siyo kwa kipupwe hiki. Nakumbuka home balaa yaani. Heri ya joto la Dar mara 100 kuliko baridi hili. Trust me...Ila kama unaye kipenzi....yaweza kuwa hali ya hewa shawishi balaa...
 
Me naona maombi yameanza kujibu aiseh!si kwa style hii.Sijapata insomnia kitambo sana ujue?
Popote alipo ajue kutesa kwa zamu na yeye atapata insomnia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ajiandae[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mh!kweli tupo tofauti me nachagua baridi badala ya joto,joto linatesa ujue?
 
Ngoja tu ninywe maji nijaribu kulala tena[emoji112][emoji112][emoji112]

IMG_3029.jpg

What about this one? [emoji23][emoji23]
 
Me naona maombi yameanza kujibu aiseh!si kwa style hii.Sijapata insomnia kitambo sana ujue?
Popote alipo ajue kutesa kwa zamu na yeye atapata insomnia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ajiandae[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mh!kweli tupo tofauti me nachagua baridi badala ya joto,joto linatesa ujue?

carb, baridi achana nayo kabisa aisee, ni hatari! Kuna limpira lao Jumapili ndio fainali! Wamelipeleka huko kwenye baridi la kukata na shoka, hiyo Sunday nasikia temp itakuwa -10F sijui nani ataenda huko! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom