myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Raha jamani.
Haivumiliki hii
Hivi nime like ama?
[emoji39] [emoji102] [emoji39]
Jiwe moja kwa wote hahahaaa
Wamenikosa...[emoji23][emoji23][emoji23]Waziri wa mambo ya ndani MwiguluNchemba amesema gharama ya passport mpya ya kielektroniki Tanzania itakua Shilingi laki moja na nusu.
_
“Hiyo ni sawa na kulipia elfu 15 kwa mwaka kwani itatumika kwa miaka kumi, ina kurasa nyingi zaidi kuliko ya sasa”
MillardAyoUPDATES
Safi sana, asante kwa taarifa mkuuBREAKING NEWS;
Habari iliyotufikia hiv punde... Basi Lenye Namba Za Usajili 'T 767 BWK' kampuni ya Shabiby line Linalosafirisha Abiria Kotoka Dodoma To Dar, Dar To Dodoma Lilokuwa Linatokea Dodoma Kwenda Dar Lilikua Limebeba Abiria 71 wanaume 43 wanawake 28 lilokua linaendeshwa na dereva Amosi John Lilipofika Maeneo Ya Mikese Nyuma Ya Chalinze Lilikutana Na Gari Kubwa La Mizigo Sem Trellar Lenye Namba Za Usajil T 854 AMT lililokuwa linaendeshwa na dereva Abdi Jonh Dereva Wa Basi Alianza Kumuona Dereva Wa Semi Na Kumuwashia Taa Za Mbele (full Light) Baada Ya Hapo Dereva Wa Semi Naye Aliiona Na Kujibu Kwa Kuwasha Na Yeye Taa Za Mbele Full Light Ikiwa Ni Ishara ya Salaam Kwani Madereva Hawa Amosi John Na Abdi Jonh Ni Ndugu Hata Hivyo Mda Mchache Baadae Magari Hayo Yalipishana Na Kuendelea Na Safari Tukio Hilo La Aina Yake Lilitokea Leo Sa 2 Na Robo Asubuhi...
Ni hivyo tu kama hujaridhika basi, lakini hakuna kingine zaidi!!
Holly cow !!! Wamenipa mpya ya mpaka 2018. Ina maana itabidi nihangaikie nyingine? Usumbufu wa pale uhamiaji...mh !!!Rais Magufuli leo anazindua Passport mpya ya Kielektroniki ya Tanzania, Passport za karatasi za sasa mwisho wake wa kutumika ni January 20 2020, unatakiwa kuwa na kitambulisho cha Taifa kwenye uombaji wa Passport hii mpya. [HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
Wenga kavaa msuli[emoji23][emoji23][emoji23]hii ni fotoshopu bhanaDa jiniazi.....
![]()
We jamaa wewe. Yaani nimesoma kwa umakini kumbe...Umenifanya nitabasamu. Asante !!!BREAKING NEWS;
Habari iliyotufikia hiv punde... Basi Lenye Namba Za Usajili 'T 767 BWK' kampuni ya Shabiby line Linalosafirisha Abiria Kotoka Dodoma To Dar, Dar To Dodoma Lilokuwa Linatokea Dodoma Kwenda Dar Lilikua Limebeba Abiria 71 wanaume 43 wanawake 28 lilokua linaendeshwa na dereva Amosi John Lilipofika Maeneo Ya Mikese Nyuma Ya Chalinze Lilikutana Na Gari Kubwa La Mizigo Sem Trellar Lenye Namba Za Usajil T 854 AMT lililokuwa linaendeshwa na dereva Abdi Jonh Dereva Wa Basi Alianza Kumuona Dereva Wa Semi Na Kumuwashia Taa Za Mbele (full Light) Baada Ya Hapo Dereva Wa Semi Naye Aliiona Na Kujibu Kwa Kuwasha Na Yeye Taa Za Mbele Full Light Ikiwa Ni Ishara ya Salaam Kwani Madereva Hawa Amosi John Na Abdi Jonh Ni Ndugu Hata Hivyo Mda Mchache Baadae Magari Hayo Yalipishana Na Kuendelea Na Safari Tukio Hilo La Aina Yake Lilitokea Leo Sa 2 Na Robo Asubuhi...
Ni hivyo tu kama hujaridhika basi, lakini hakuna kingine zaidi!!
Nasikia jamaa alivamiwa jana usiku[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mara nyingi ni last born ndo hufanyaga hivi
Hukutabasamu ulipoiona? Kama ulitabasamu na vidimpozi vikatokea kwenye kauso kako (kale) kazuri kachangamfu basi fotoshopu imefanikiwa...Kwema? Mafua yamekuachia?Wenga kavaa msuli[emoji23][emoji23][emoji23]hii ni fotoshopu bhana