Baada ya kuachana na bibiye Jenny, Boateng aliangukia kwenye penzi la mwandishi wa habari aitwaye Melissa Satta ambaye alikuwa akifanya kazi kwenye kituo cha televisheni cha TIM.
Kwa mashabiki wa soka, watakumbuka kuwa Satta ndiye mwanamke aliyedai kuwa kuumia mara kwa mara kwa Boateng kulitokana na alikuwa akifanya mapenzi mara saba au 10 kwa wiki.
Kwa wafuatiliaji wa habari za mastaa, watakumbuka kuwa Pilar ndiye aliyetajwa kuwa mwanamke mwenye mvuto zaidi Hispania kwa mwaka 2008 na akaibeba tena tuzo hiyo mwaka 2009. Ni tuzo ambayo hutolewa na jarida la FHM la nchini humo.
Casillas ni mume wa Sara Carbonero, mwandishi wa habari maarufu nchini Hispania. Mapenzi yao yalianza mwaka 2009, kipindi ambacho Casillas alikuwa na kikosi cha Madrid
Tetesi hizo zilipata kasi baada ya wawili hao kunaswa wakisherehekea tuzo ya tatu ya Ballon d’Or aliyokuwa ameshinda nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Ureno.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.