Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya kuachana na bibiye Jenny, Boateng aliangukia kwenye penzi la mwandishi wa habari aitwaye Melissa Satta ambaye alikuwa akifanya kazi kwenye kituo cha televisheni cha TIM.
 
Kwa mashabiki wa soka, watakumbuka kuwa Satta ndiye mwanamke aliyedai kuwa kuumia mara kwa mara kwa Boateng kulitokana na alikuwa akifanya mapenzi mara saba au 10 kwa wiki.
 
Kwa wafuatiliaji wa habari za mastaa, watakumbuka kuwa Pilar ndiye aliyetajwa kuwa mwanamke mwenye mvuto zaidi Hispania kwa mwaka 2008 na akaibeba tena tuzo hiyo mwaka 2009. Ni tuzo ambayo hutolewa na jarida la FHM la nchini humo.
 
Casillas ni mume wa Sara Carbonero, mwandishi wa habari maarufu nchini Hispania. Mapenzi yao yalianza mwaka 2009, kipindi ambacho Casillas alikuwa na kikosi cha Madrid
 
Ronaldo (Lucia Villalon)

Georgina Rodriguez ndiye mpenzi wake wa sasa, lakini kabla ya hapo Cristiano Ronaldo, aliwahi kuwa na mwandishi wa Hispania, Lucia Villalon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…