Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mapenzi yao hayakuanza jana, tangu wakiwa na umri wa miaka 17. Mrembo Nargihas, amekuwa mtangazaji kwa miaka mingi licha ya kwamba ndiyo kwanza ana umri wa miaka 25 kwa sasa
 
Rafael van der Vaart (Sylvie Meis)

Mmoja kati ya viungo bora kuwahi kutokea katika soka la Ulaya. Hivi sasa anaichezea Midtjylland ya Denmark. Naye aliwahi kutoka na mwandishi wa habari aitwaye Sylvie Meis, lakini wameshaachana na sasa anajiachia na mlimbwende, Estavana Polman.
 
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga Jumanne aliapishwa kuwa 'rais wa wananchi' nchini humo baada ya kusema hatambui ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa marudio uliofanyika nchini humo Oktoba mwaka jana.
Mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka wa chama cha Wiper hakujitokeza kwa sherehe hiyo ya kuapishwa, ingawa alikuwa miongoni mwa waliotarajiwa kuapishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…