Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vituo vitatu vya runinga vya Citizen TV, NTV na KTN News ambavyo vilizimwa nchini Kenya, vitaendelea kufungiwa mpaka pale serikali itakapokamilisha uchunguzi wa kina kuhusu tukio la kujiapisha kwa Kiongozi wa Upinzani, Raila Amolo Odinga, lililofanyika Jumanne, Januari 30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…