Toa za chembe akija kivingine pga kdevu!...malaiks tuTuko hapa tunatoa na kupokea likes tu ..
Unamjua au unamsikia?Natoka na Babe S na hamta muona humu maka nirudi
Inaonyesha yumo humu kwa ids nyingineHalafu mbona kama aliyeanzisha huu uzi kautelekeza...
Haonekani kabisa kwenye huu uzi...
Mkuu tuletee hapa jembekilloPeople tuendelee kutoa likes ili kupata likes
Mchana mwemah
Acha maneno weka likeTuchukulie mimi nimekupa like na wewe ukanipa like, sasa kwa sababu nlikupa like na wewe ukanipa like maana yake nilikupa like kisha na wewe unakanipa like, tatizo hapo likowapi kwani si nilikupa like na wewe ukanipa like...
Ngoja nmeitiwa makinikia naenda kuyakagua...[emoji125] [emoji125]
Nahisi hivyo aisee...Inaonyesha yumo humu kwa ids nyingine
Hahaha Maiduguri ya tzBabe s zidi kumshawishi mwenyekiti kichwa kichafu akubari kwenda Maiduguri.
Like kwanza...Hahahahahaha hiyo Kali
Inaonyesha hakuwa na matarajio ya huu uzi kupata mapokezi kama hayaNahisi hivyo aisee...
Labda anaijazia like hiyo id yake nyingne...
Kumbe nawe ni wa hivyo hivyo daaaa!Ndio humu humu pakutafutia kiki, chezea wabongo wewe!
Mimi huyo [emoji116]kama ulikuwa unijui
Wazo zuri, kitakuwa kibwagizo cha huu uzi...Hii freestyle ya like naweka beat tutoe single yetu ya like