moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nilikutafuta kwa simu yako, ikapokelewa na uniq, Nikaishia kumsalimiaAaaah haujanitafuta vizuri wewe....
Nilikutafuta kwa simu yako, ikapokelewa na uniq, Nikaishia kumsalimiaAaaah haujanitafuta vizuri wewe....
Hii freestyle ya like naweka beat tutoe single yetu ya likeTuchukulie mimi nimekupa like na wewe ukanipa like, sasa kwa sababu nlikupa like na wewe ukanipa like maana yake nilikupa like kisha na wewe unakanipa like, tatizo hapo likowapi kwani si nilikupa like na wewe ukanipa like...
Ngoja nmeitiwa makinikia naenda kuyakagua...[emoji125] [emoji125]
Hebu tujaribu kuwarudisha wana familiaNyiramba girl kapotea lakini
Hahaha juzi usiku nilimpigia nimpe mwaliko wa idd ukapokea simu yake, jamaa acha wivu[emoji2] [emoji2]Ukimualika nialike na mimi utatuona zaidi ya hapo sahau
Simba mwenda pole iko gonjwaSimba mwenda pole ndio mla nyama
Mpelampelanaona safari imeiva
Tafuta mwingine huko kisosolaNiache niache na mtoto wangu ngozi kila mtu anaitaka
[emoji125] [emoji125] [emoji125] Mkuu wewe kila mtu ni mbaya kwako?Hahaahhaha utaota sana
Usimchekee utakosa vingi vitamu kwa ajili yakeHahahahaj
Nadhani inamfaa mwenyekiti wa Kibiti kwani ndo malengo yangu.Hahahahaha......nitamchukulia mtu..
Hata wewe muangalie sana huyo jamaaHahahaha nimecheka mpaka machozi jama hawa Ke watatumaliza humu ndani.
Mwenyekiti umepata safari ya Maiduguri nchi za watu, huko ni kula na kuponda raha tu.Hamna mwenye kinga humu kila mtu antakiwa kulike huku akipost si kupost tu.
Ndio zitafanya uzi huu kuendelea kwa kasi ambayo tumeanza nayo
Ukhuty IDD MubarrakJeff jljlgjjjcgx