uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Picknic kilimamoto leohadi olmotonyi
Picknic kilimamoto leohadi olmotonyi
Aaaah haujanitafuta vizuri wewe....Nzuri mzima, nilikutafuta uje upate msosi sijakuona
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]Utakua unalako jambo
Tatizo rangi yakeKwa Babe S. Naona midume imetoa machooooooo
HahahahahaaaWawindaji wengi hadi wameanza kuwa majangili[emoji23] [emoji23]
ISIS naomba umsikilize mzee wa liver.Kichwa kichafu nisaidie kumwambia ISIS kuna mtu anatangaza kumlove hila hiyo vita haitamwacha salama huyo mtu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nimesha sema wesi sikuhizi dhahabuTatizo rangi yake
Amin, pilau la jana pale kwako lilikuwa tamu sana,Shukrani kwa wote mlioitikia mualiko wangu wa EID ,Mungu awabariki sana
Uko wapi mkubwa?!! Popote ulipo agiza Balimi ndogo "Kanda Yetu Bia Yetu" mm ntakutumia mhamara chap...Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Pokea na spare zake chukua hata kuku hapoMbavu zangu
Hahahahahahah hilo biti si la dunia hii...Kweli nakupa siku wazuri kila siku wanazaliwa hapa JF
Ukimualika nialike na mimi utatuona zaidi ya hapo sahauAaaah haujanitafuta vizuri wewe....
Tamu !!!? Nini tamu mkuu?
Nimecheka sana .......!!!Pokea like, ntasoma baadae ulichoandika..
Nazimwaga....Uchoyo wa likes no dhambi..
Ukikaa vibaya watu wanawinda hadi kwenye zizi la mtuHahahahahaaa