moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jamaa utaumia bureHuna salamu na mimi wala nini nakuhama soon
Jamaa utaumia bureHuna salamu na mimi wala nini nakuhama soon
Hahaha...unataka kuhamia wapi...!??Huna salamu na mimi wala nini nakuhama soon
Huyu jamaa naona anatupia maneno matamu kwa my Queen[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mzee wa liver wawindaji wapo wengi humu
Naelekea kilimamotosasa wewe naona safari yako inaelekea orkokola.
Subiri ajibu one penzi moto moto. Umbea tuuu unakuleta huku hahhahaJamaa utaumia bure
Kwa Babe S. Naona midume imetoa machoooooooHahaha...unataka kuhamia wapi...!??
Karibu my QueenNimerudi
Hahahaaaa, huna maaana wewe, uharibifu tu ndio umekujaa.Hahahhahahhahhahhaha. Nakuona nakuona, nadhani umesahau wapendanao ndio.....
Asante nimekunywa chai ila nimezitamani..Napata Chai na Chapati. Karibuni
AMUN RAShe is back with all the energy from UNIVERSE
AMUN RAUNIVERSE TAKE CONTROL
Mijizi mingiiiiiHuyu jamaa naona anatupia maneno matamu kwa my Queen[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naona anachanganya na yai kwa sanaHuyu jamaa naona anatupia maneno matamu kwa my Queen[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nzuri za kwako Cole Williams,Habar yako babe
Hahhahaha yani humundani raha sana. Unaweza kucheka kama chizi. HahhahahaHahahaaaa, huna maaana wewe, uharibifu tu ndio umekujaa.
Abiria chunga mzigo wakoKwa Babe S. Naona midume imetoa machooooooo