Hahaha umenikumbusha mbali ase. Nakumbuka nilijibu Lila na Fila haiafikia NIKELila na fila
Hadi wanalugha yao kabisaMkuu kwa hisia kabisa?, hahahaa aaaa.Kweli wakuachie umetoka mbali sana nae
Hahahahahahahahah andjul.....babe S tangu limekugiribu lile baradhuli umenitenga mazima? Bado nakusubiri, litakapo kutenda nikumbuke
siku hizi wanagoma kushuka chini. wafatilie huko huko juuAliye juu mngoje chini
Pokea likes ila kuna ujumbe nipewa na mzee wa liver nikufikishieUNIVERSE TAKE CONTROL
Weww cheka tuHahahahahahahahah andjul.....
babe S; unagombewaMornin